Recent content by kibakulism

  1. K

    Walimu tulioajiriwa mwaka 2019 Ruangwa, Lindi, hatujalipwa pesa zetu za kujikimu hadi sasa

    Walimu wa ajira ya 2019 May, katika halmashauri ya wilaya Ruangwa -lindi, hatujalipya pesa ya kujikimu tangu kuajiriwa kwetu. Kilichotokea ni kwamba, tulivyoajiriwa na serkali mwezi mei 2019, serkali ilituma pesa za kujikimu ili tulipwe, lakini pesa hivyo, ikatokea sintofahamu na hazikulipwa...
Back
Top Bottom