Recent content by Kibag

  1. Kibag

    JamiiForums Tanzania Nauza nyanya nzuri kabisa napatikana dumila morogoro

    Nilivuna debe 165 kwa ekari moja
  2. Kibag

    JamiiForums Tanzania Jifunze Mambo Mbalimbali Kuhusu Kilimo cha Tunda la Makakara (Passion)

    Sawa kabisa nashukuru ngoja niingie kilimoni sasa
  3. Kibag

    JamiiForums Tanzania Jifunze Mambo Mbalimbali Kuhusu Kilimo cha Tunda la Makakara (Passion)

    passion Karibuni kwa ushauri wenu
  4. Kibag

    JamiiForums Tanzania Jifunze Mambo Mbalimbali Kuhusu Kilimo cha Tunda la Makakara (Passion)

    Nataka nilime passion (karakara) lakini sijui soko lake kwa hapa Tanzania lakini nimeamua ku-invest kwa Kiwango kikubwa sana hebu nipeni ushauri wana jamvi kabla ya kuanza. Je, soko lipo? Je, ni changamoto zipi? Kwa ushauri zaidi.
  5. Kibag

    JamiiForums Tanzania Nauza nyanya nzuri kabisa napatikana dumila morogoro

    Leo pia tunavuna nyanya karbuni saana
  6. Kibag

    JamiiForums Tanzania Nauza nyanya nzuri kabisa napatikana dumila morogoro

    Pako poa saana
  7. Kibag

    JamiiForums Tanzania Nauza nyanya nzuri kabisa napatikana dumila morogoro

    Sana
  8. Kibag

    JamiiForums Tanzania Nauza nyanya nzuri kabisa napatikana dumila morogoro

    Nyanya wateja wapo sema bei tu ukija dumila hapa nguzo mbili utajionea na mimi siwezi kopesha Lakini nashukuru wanajamvi kwa ushauri
  9. Kibag

    JamiiForums Tanzania Nauza nyanya nzuri kabisa napatikana dumila morogoro

    Tayari nyanya ishauzwa mkuu Jana hiyo imetoka shambani Asante kwa ushauri
  10. Kibag

    JamiiForums Tanzania Nauza nyanya nzuri kabisa napatikana dumila morogoro

    hii ndo nyanya yetu hapa tumevuna mchumo mmoja ipo katika hari nzuri kabisa mbegu inaitwa imara ni hybrid moja nzuri mnoo karbu saana
  11. Kibag

    JamiiForums Tanzania Nauza nyanya nzuri kabisa napatikana dumila morogoro

    Lita 20
  12. Kibag

    JamiiForums Tanzania Nauza nyanya nzuri kabisa napatikana dumila morogoro

    Elf 5 kwa ndoo
  13. Kibag

    JamiiForums Tanzania Nauza nyanya nzuri kabisa napatikana dumila morogoro

    Elf 5 kwa ndoo moja ya lira 20
Back
Top Bottom