Recent content by Khankaka

  1. Khankaka

    JamiiForums Tanzania Nimepata F ya Mathematics na Physics naweza kurudia masomo hayo mawili tu?

    Habari Wana jamvi, Nimehitimu kidato cha nne mwaka 2015 nikawa nimepata F ya Physics na Mathematics, nikasomea certificate ya CHW. Sasa nawaza kurudia masomo hayo niliyofeli. Je, naruhusiwa kurudia mawili tu?
Back
Top Bottom