Recent content by khan arif

  1. K

    JamiiForums Ewura punguzeni bei ya gas.

    Bei ya gesi imepandishwa sana kiasi kwamba kwa mtumiaji inkua ngumu kununua. Maana ya kutumia gesi ni kuokoa nchi yetu Tanzania kwa kukata miti ovyo. Ili watu waweze kununua gesi badala ya mkaa.
Back
Top Bottom