Recent content by khalifah sharon

  1. K

    Mpira wa Tanzania unaharibiwa na vilabu viwili -- Simba na Yanga

    Mimi nakupinga Hakuna mtu anataka kuwekeza kwenye hasara simba na yanga ndo timu zinazofanya vizur nazina mashabiki wengi kama ulivosema, lazima mtu awekeze anapo weza kupata faida. Mo kabka hajaja sima alikua african lyon kama sikosei watu wakaiita ni simba ndogo, kwann mo akaamua kuwekeza...
  2. K

    Ile penati ya Simba ni ya halali?

    Hahhahahhahaaa mpango wake ule alijua mzamiru akipita watapata maafa akaona bora adake akijua simba inakosaga penati kumbe chupa liliamka na chai.
Back
Top Bottom