Wilaya ya TEMEKE Kuna kampuni inaitwa AMANZI ambayo POPOTE ukikutwa umepaki gari wanakuchukua na inakua aidha
(1)Uwapooze wale wanaokukamata(haipungui 50)
(2)Wakupeleke kwenye yard yao wakaifungie gari yako mpaka utoe laki 2 na tena Kuna wagambo wenye magongo
LAKINI wanasema wana kibali cha...
Kwa maon yangu mimi naona si Sawa eneo la parking pale kituo cha treni za mwendokasi kuwa za kulipia kwa wananchi wanaokwenda kupeleka au kupokea ndugu zao.SIO LAZIMA KILA HUDUMA WANANCHI WAWAJIBISHWE.
Mbona zipo sehemu nyingi tunabanwa kulipia kodi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.