Recent content by khalfaniseif05

  1. K

    DOKEZO Uongozi wa TRA Dar una habari na manyanyaso yanayofanywa na staff wao kwa wateja wanapotembelea matawi yao kupata huduma?

    Wakati mwingine hivi vitu vunashangaza Sana mbona Milango ya Viongozi wa juu wa TRA ipo wazi Why usitoe taarifa huko kuliko kuichafua Taasisi ya Watu mitandaoni kama hivi, tutaamini vipi kama ulichiandika kipo? Ulipaswa kutoa taarifa kwa meneja au Kiongozi yoyote kwenye hiyo ofisi
  2. K

    Matokeo ya usaili TRA kutangazwa Aprili 25, 2025

    MATOKEO YA USAILI TRA KUTANGAZWA APRILI 25.2025 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya Usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi za kazi TRA yatatangazwa Aprili 25 kupitia Tovuti ya TRA (www.tra.go.tz) baada ya kuwasilishwa na...
Back
Top Bottom