Habari za asubuh wana JF
Mimi ni dereva natafuta gari ya kufanyia kazi tax mtandao yani bolt vigezo vyote ninavyo kama leseni, Account za tax mtandao yani uber na bolt, naombeni kazi mimi naishi Kivule Matembele ya pili Dar es Salaam, Wilaya ya Ilala.
Mawasiliano yangu ni 0758 -871 707 au...
Habari wana JF jina langu napatikana Kivule Matembele ya Pili DSM, wilaya ya Ilala niko apa natafuta gari ya kufanyia kazi tax mtandao almaarufu uber &bolt nk.
Nna lesen pamoja na Account ya tax mtandao, nina uzoefu wa miaka 5 kwenye kazi hii tangu nimeanza nina wadhamin ambao wanaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.