Recent content by Kevin5000

  1. Kevin5000

    Nipo Moshi, nauza kuku aina ya Kuchi

    Tatizo sio kwamba sitaki kuweka bei ila najaribu ku avoid comment nyingine za watu ambazo hazina maana,watu wananipigia nawapa bei.maana unaandika kuchi anauzwa laki na nusu au zaidi mtu anajibu comment kwa kusema "kwan amekua ngombe". watu washaambiwa kuchi hafugwi kwa ajili ya nyama na ukifuga...
  2. Kevin5000

    Kuku aina ya kuchi wanapatikana

    Ndo bei zao Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Kevin5000

    Kuku aina ya kuchi wanapatikana

    Ndo bei ndugu unaweza ulizia mahali popote. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Kevin5000

    Kuku aina ya kuchi wanapatikana

    150,000 jogoo tetea laki. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kevin5000

    Nipo Moshi, nauza kuku aina ya Kuchi

    Siwezi poteza mda kubisha na watu wasiojielewa hizo ni tabia za kike ww ongea unachotaka kuongea mm hainisumbui kitu wala sipotezi mda kukujibu mm sina tabia za kike kama ww. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kevin5000

    Nipo Moshi, nauza kuku aina ya Kuchi

    Mbna unaropoka kama mwanamke!! Utakuja kuolewa ww,sasa unataka niposti ambao siko tayari kuwauza? Hao ndo nawauza. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kevin5000

    Nipo Moshi, nauza kuku aina ya Kuchi

    Kama upo serious nimetoa no ya simu hapo mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kevin5000

    Nipo Moshi, nauza kuku aina ya Kuchi

    Hahaha hakuna kuchi original wa bei hiyo labda kuchi wale waliochanganika na kuku wa kawaida,kifaranga original hata kwa bei hiyo hauwezi pata mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kevin5000

    Nipo Moshi, nauza kuku aina ya Kuchi

    Kuku kuchi: 0679228374 Jogoo 150,000Tsh ,Tetea 120,000Tsh Moshi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kevin5000

    Nipo Moshi, nauza kuku aina ya Kuchi

    kuku aina ya kuchi original 0679228374 Jogoo 150,000Tsh,Tetea 120,000Tsh Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kevin5000

    Kuku aina ya kuchi wanapatikana

    Ungekua na mtu ambae unamjua huku moshi ingekua rahisi. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kevin5000

    Kuku aina ya kuchi wanapatikana

    Nipo moshi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Kevin5000

    Kuku aina ya kuchi wanapatikana

    Nauza Kuku aina ya kuchi, 0679228374 Sent using Jamii Forums mobile app Moshi
Back
Top Bottom