Recent content by kerspesky

  1. K

    Kweli wivu ukizidi ni sheeda!!

    kama ni ww unatumia njia gani??
  2. K

    Kweli wivu ukizidi ni sheeda!!

    Habari zenu wa jf na MMU wenzangu?? Natumai nyote mko poa na harakati za hapa na pale naombeni tujadili hili swala la wanawake wengi ambalo linaweza kusababisha mapenzi kuvunjika Binafsi nipo na uhusiano na bint fulani na kabla kumtongoza aliniambia yeye ndio alinipenda mwanzo...
  3. K

    Kaniacha mwenyewe ila anapenda kunifuatilia

    Mijitu mingine hata kama haina cha kuindika inalazimisha tu na wao waonekane KWANI MTU AKIKUFUATILIA MPAKA AKUTAMKIEE??? Umepanic
  4. K

    Kaniacha mwenyewe ila anapenda kunifuatilia

    ww mpumbav nn au umeshalewa/?
  5. K

    Kaniacha mwenyewe ila anapenda kunifuatilia

    Hii ni kama pale ww unafanya yako huna mpango na mtu ila mara unakuja kumshtukia yeye au mashoga zake wooote wamieacha kazi wanakuangalia mara mid mingine wanacheka cheka
  6. K

    Kaniacha mwenyewe ila anapenda kunifuatilia

    Had noma ssana maana unamchunguza mpaka mwenyew anajua ila dawa yake ni kumpa makav live tuu huyu
  7. K

    Kaniacha mwenyewe ila anapenda kunifuatilia

    Ma Expart wa mambo ya mapenzi tiririken hapa!!!
  8. K

    Kaniacha mwenyewe ila anapenda kunifuatilia

    Habari zenu wana Jf, hususani wadau wa MMU mko poa? Hiki ni kisa ambacho kinanihusu mwenyewe niliwahi kuwa na mahusiano na binti flani tuliishi vizuri tu ila baada ya mda alibadilika na baada ya kumuuliza nini tatizo aliniambia kuwa alinikubalia tu kwa sababu nilimlazimisha. Mimi nikaona...
  9. K

    Hivi kwanini wasichana mkitongozwa mnawaambia wasichana wenzenu?

    Anayekujadili cku zote huwa anakukubali.... ndio maana yake
  10. K

    Hivi kwanini wasichana mkitongozwa mnawaambia wasichana wenzenu?

    Utakuta binti katongozwa na jamaa alafu anakwenda ku advertise kwa mashoga zake, shosti usimwone vile yule kaka mimi kashawahi kunitongoza, sasa usitongozwe wewe si mwanamke au? Tena mwengine anajisifia kanitongoza ila nimemkatalia.
Back
Top Bottom