Recent content by keri keri

  1. keri keri

    Mbona wasichana wanazaa wakiwa wadogo sana?

    20 sio mdogo, wewe unataka wazae wakiwa 30?! Kwa vyakula ivi?!!?! tuache bana tuzae maana atujawah lalamika
  2. keri keri

    Ushauri: Shangazi anadai nashirikiana na mama yangu kumloga ili afe

    Wewe kaa mbali nao sababu wameamini kitu bila ata ya uchunguzi, endelea kusal Omba Mungu akupe wepes na akutie nguvu uweze kabiliana na hyo... Ukwel unaujua mwenyw pole sana
Back
Top Bottom