Habari za muda huu wakuu,
Natafuta kazi za SAFETY. Nina degree ya Geography and environmental studies pia Nina cheti Cha OSHA NOSHC MODULE I and II, OHS working at height pamoja na NEBOSH IGC
Mawasiliano yangu ni+255 683 465 996 (ipo Whatsapp).
Ayo ni baadhi ya majengo yanayopatikana Dodoma.....kiukwel Dodoma inakuja kwa kasi japo kuifikia dar kazi sana ila baada ya miaka miwil itaizidi mwanza ......naweza kusema ni jiji LA tatu kwa uzur baada ya dar na mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.