NINAENDELEA ✍
N.B Nitajitahidi kuandika kadri niwezavyo maana naona kuna baadhi ninawekera na hizo nitaendelea...(tuko na majukumu mengine nje ya jamvi)
HATIMAE NIKAPATA CHOMBO KIPYA
Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya jamii nilipata kumuona mdada mmoja hivi ni mrembo haswaaa na hakua...
NAENDELEA NDUGU ZANGU...✍
Hakika ule usiku ulikua ni usiku wa kumshukuru Mungu kwa kunirejeshea njiwa wangu. Tuliongea mengi na tukafanya kila linawezekana kwa nafasi yake kumuonesha mwezake ni jinsi gani alivyokua umemis moment ya kua wote kitandani.
Kesho yake kama kawaida mi nikaenda zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.