Imekuwa ni kawaida na mazoea makubwa sana sasa kwa madereva bajaji mkoa wa Mbeya kupakia abiria wawili mbele na wengine wakiwa wamening'inia na dereva kuendesha bajaji huku akiwa amechuchumaa tena main road kila siku na wahusika wapo tu wanawaangalia kila siku hawawachukulii hatua zozote zile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.