SEHEMU YA TATU
Berlin, Ujerumani.
Kamanda wa polisi, Otto Schiffer, akiwa na maafisa wa polisi wawili waliokuwa ndani ya sare zao, na msimamizi wa jengo lenyewe, Herr Karl Goetz, walikuwa wanaushangaa mwili wa maiti ya mwanamke- ukiwa uchi- uliokuwa umelala ndani ya beseni la kuogea lililokuwa...