Sawa ila kilichonishangaza ni kunitajia amount moja kwa moja kua kila mjumbe anachukua kiasi Fulani,wakati huduma ni Bure.
Angeniambia type Hela ya maji ningeelewa.
Sasa naogopa kuwakatalia watanikwamisha.
Hapo ndio kichwa inaniuma.
Ndio maana niliataka kujua wewe ukifanyaje huko kata na mitaa?
Ok sikutaka kuweka hapa mambo hadharani,lkn ngoja nifupishe TU.
Nimefika ofisi za s/mitaa.
Wameniwahi na kuninambia natakiwa niwalipe wajumbe wote sitting allowance kuanzia mitaa hadi kata.
Hela walionitajia ni ndefu Sana.
Mwanzo sikujua kama huduma ni Bure,ndio nataka nijue nitfanyaje nipate...
Inasikitisha sana Kwa kweli.
Ikiwa aliekua Makamu wa RAIS habari zake wananchi hawazijui toka ametangaza kujiuzulu.
Kila kitu kiko kimya
Hii nchi hatuko salama aisee
Kaka Mkubwa uko sahihi kabisa.
Mbali ya wewe kua Mwandishi,mwanasheria lkn pia una elements za uanasaikilojia.
Nakubaliana na wewe kabisa kwa hapa,na nadhani utakubaliana na Mimi kua ushirika wowote usio wa haki mwisho wa siku hua kuna kusalitiana wenyewe kwa wenyewe...
Habari za maisha ndugu zanguni.
Naomba Kwa mtu au mtaalamu yeyoye anaeweza kinisaidia matibabu au dawa ya mawe kwenye nyongo bila upasuaji.
Nina mgonjwa wangu,ameenda hospitali amepewa dawa lkn Dakatari Kwa uzoefu wake amesema dawa zinaweza zisifanye kazi,hivyo njia nyingine ni kufanyiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.