wakuu mimi nilisoma Bsc Software Engineering pale udom, potential yake ni kubwa sana kwa tanzania hasa kama unataka kujiajiri mwenyewe au kuwa mjasiriamali kwajili ya masoko madogomadogo. nilipata bahati pia ya kufanya training katika makampuni makubwa mawili ya hapa nikagundua kuwa makampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.