Recent content by kelvin5

  1. K

    Is it that the world is not fair or God does not exist.

    Nadhani misahafu ndio imetufikisha hapa tulipo! Moja, kwa kuwa misahafu inasema tajiri ni ngumu kufika mbinguni. Matokeo yake ni kuleta dhana ya kupeana nafasi, ya kwamba tajiri atafaidi duniani, hana haja ya faida ya mbinguni. Maskini anahofu ya moto wa milele hivyo hayuko tayari kupigania haki...
Back
Top Bottom