Recent content by Kelvin30

  1. Kelvin30

    Nimekuwa nikiona changamoto ya wauzaji wa nguo online nikaamua kujaribu suluhisho

    Can you send me your website (Portifolio) napenda collaboration.
  2. Kelvin30

    Nimekuwa nikiona changamoto ya wauzaji wa nguo online nikaamua kujaribu suluhisho

    Just saying something is copied without hard proof inakatisha tamaa kiaina, the idea was inspired by google but nikasema i want to do it my own way and yes we will make it kwa kiswahili ila kiswahili for me its hard, thats y am starting to make it in english then i will find someone to translate...
  3. Kelvin30

    Nimekuwa nikiona changamoto ya wauzaji wa nguo online nikaamua kujaribu suluhisho

    Thats is a problem we will try to solve, watu wanabadilika pia tunataka kufucos na area ndogo kwa kuanzia, ila i get your concern.
  4. Kelvin30

    Nimekuwa nikiona changamoto ya wauzaji wa nguo online nikaamua kujaribu suluhisho

    Tunataka kurahisisha biashara ya nguo online, ila mwanzoni tumeanza na tatizo la kuwasaidia wafanya biashara kutangaza bidhaa zao kwa urahisi bila kuhitaji mamodo, wataweka picha zao na watapata kitu cha kupost ndani ya muda mchache ila bado tunafanya marekebisho kutokana na maoni ya watu tupo...
  5. Kelvin30

    Nimekuwa nikiona changamoto ya wauzaji wa nguo online nikaamua kujaribu suluhisho

    Nimesha intergrate na malipo ya simu ila bado napata tabu kwenye malipo ya kadi una hii solution?
  6. Kelvin30

    Nimekuwa nikiona changamoto ya wauzaji wa nguo online nikaamua kujaribu suluhisho

    Mimi ni mwanafunzi wa UDSM ninasoma Computer Engineering. Kwa muda nimekuwa nikiona jinsi teknolojia inavyobadilika kwa kasi, lakini biashara nyingi ndogo hasa za mavazi bado zinapata shida kuendana nayo. Changamoto kubwa niliyoiona: wauzaji wana bidhaa nzuri, lakini namna ya kuziwasilisha...
Back
Top Bottom