Recent content by kelvin samta

  1. K

    DNA inaniambia mtoto wa kiarabu ni wangu wakati wazazi wote waswahili

    kaka hv unasomaga ujumbe vizuri kweli???? kuna sehemu imeandikwa DNA imepimwa kwa dakika 15 hapo juu? na ni wapi wamesema mtoto ni mchanga wa miezi miwili? kaka labda nikwambie tu kupima DNA kwa mtu ni TShs 100,000/=
  2. K

    DNA inaniambia mtoto wa kiarabu ni wangu wakati wazazi wote waswahili

    Nimepatwa na mshtuko baada ya kupata majibu ya DNA yakionyesha mtoto niliekuwa na wasiwasi nae kwamba nimebambikiwa ni wakwangu tena kwa asilimia 99.99%.....ilikuwa hivi, mimi ni mtanzania kabila mpare na nimeoa mwanamke wa kirangi tuliejaaliwa kupata watoto wanne, wakiume watatu na wakike...
Back
Top Bottom