UTENDAJI kazi wa marais, Dk John Magufuli na Paul Kagame wa Rwanda unaoweka mbele maslahi ya nchi na wananchi umemvutia Balozi wa Rwanda nchini, viongozi hao ni mfano wa kuigwa. Utendaji wa marais hao, unaojali zaidi vitendo vyenye kuonyesha matokeo chanya badala ya maneno yasiyo na tija, ndiyo...