Recent content by Kelly Allen

  1. K

    Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

    Dah Kaka sema sijui ulisoma elimu ya chuo miaka gani ila wanafunz wengi wameoana kwa muda hasa miaka hii. Fanya uchunguzi
  2. K

    Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

    Dah Mkuu umenielewesha vzuri sana sana nahis sasa umeniweka kwenye mwanga kabsa. Thanks very much!
  3. K

    Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

    Ningeomba kama kuna watu wanajua maandiko ya kale bible, quran na vingne wanisaidie kupata uelewa zaid kwa hii sauti sijapata majibu ya kueleweka kabsa "SEMA HIVI MUNGU ALIUMBA MUNGU MTU KUPITIA YEYE HUTAKUFA "na kweli baada ya kurudia asee Kifo kikaniachia nikarudi tena duniani yan mm leo...
  4. K

    Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

    Mkuu ata mm huwa nilijiuliza sana mpaka nimewafata mapasta wengi nao majibu ni kuwa mungu mtu ni yesu, kwamba ni Mungu ndani ya mwili wa binadam ila hakuwa binadam japo alikuwa na sifa karib zote za binadam. Ila ile sauti inanichanganya mpaka leo siielew kabsa
  5. K

    Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

    Next time nitawaambia balaa lingne ila sio hili la mambo ya ajabu ni mkasa ulionikuta kweny nyumba za kupanga ambapo ilitokea kila mpangaji wa kike (wake za watu) walikuwa wanataka nilale nao yan wote kila mtu alikuwa anakuja kwa time yake ilikuwa mwaka 2017.
  6. K

    Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

    Jamani baada ya muda nilikuja kujua Mungu mtu nilikuwa naambiwa nitamke ni YESU KRISTO (JESUS CHRIST) ila mimi frankly speaking napata shida sana kukubali yes! Yan msimamo wangu mm kwanza siziamin kbsa hiz din za watu weupe yan nahis kuabudu din zao bado tupo utumwani. Ni ukwel usiopingika...
  7. K

    Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

    Inaendelea... Hello habari, naam kipande kinachofata ni baada ya matokeo kutoka nikafaulu na kuendelea mwaka wa tatu. Kwenye lile somo la yule lecturer mtata tulichomoa sup watu kumi na moja tu kat ya 195 wengne walirud wakaendelea na utaratibu mwngne. Basi masomo yalianza kwa speed sana na...
  8. K

    Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

    Nashukuru sana mkuu mm ata church huwa siendagi kabisa
  9. K

    Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

    Kaka kuna mahali niliandika wakati nakaribia kabsa kufa kilikuja kivuli upande wangu wa kiume kikaniambia nitamke maneno haya "SEMA HIVI MUNGU ALIUMBA MUNGU MTU KUPITIA YEYE HUTOKUFA UTAISHI"
  10. K

    Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

    Hello habari, Mimi ni kijana niliezaliwa mnamo mwaka 1995 katika kanda ya kaskazini hapa nchini.Nimesoma shule mbalimbali hadi kufanikiwa kupata digrii ya kwanza katika chuo cha Taifa cha usafirishaji (NIT). Leo nimeona kushare na nyie story yangu hii ya kweli ambayo nahisi itakusaidia kupata...
Back
Top Bottom