jamani jamani huyu rachel atafutwe kwa udi na uvumba, nimepokea text yake sasa hivi kanitumia,nayo inasomeka kama ifuatavyo
"Habari, naitwa Rachel From Palmeras Apartments Dar. Nipo kikaoni tunapitia CV tupate majina ya kuinterview for Administration Officer Post, I like your CV na ntakusaidia...