Mxo naye kawa nunda kwelikweli, inawezekana kuna kitu anajua. Maana sasa anamuita Xulu jina lake halisi et Ghabhashe, siyo la heshima kama mzazi wake. Na Ayanda naye anamuita Xulu Baba,
Na majibu ya DNA yanatoka kwa muda gni baada ya vipimo? Maana inaonekana kama majibu yalitoka yakionesha kuwa mimba ilikuwa ya Ayanda kutokana na huzuni alokuwa nayo wakati Nombuso alikwenda kwa Mxo na kumwambia kuwa mimba ya mtoto wao imetoka.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Xulu anajua kuwa Ayanda ni mtoto wake, na Mxo syo wake. Je, kama ndo alim-shoot Nombuso anataka siri abaki nayo yeye tu?
Nahisi yajayo yana msisimko kwelikweli.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Sielewi zile nyaraka za hospital kuhusu uhalisia wa wazazi wa Ayanda na Mxo Nombuso alizipata wapi, maana ndo alizomaliza kusoma tu ile anataka kuanika ukweli akatandikwa risasi.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kumbe Ayanda alikuwa sahihi. Mimba ilikuwa ya Mxo. Kuhusu Ayanda kumtandika risasi siyo kabisa. Kumbuka wakati anatandikwa risasi Ayanda na Nos ndo walikuwa wanamaliza kvunja amri ya 7
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Yawezekana aliyeshoot Nombuso ni Sbu kwa kutumiwa na xulu, kwa sababu walikuwa wanawafuatilia wakiwa kwenye gari na walimpita Ayanda.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Akiwa kwenye eneo la biashra ya akina mxo akisimlia kuhusu mimba kutoka. Na alimwambia mxo kuwa mimba ilikuwa yake. Mxo alijaa upepo sana akafikia kumtimua pale. Nombuso alitska kumwambia ukweli kuhusu yeye (Mxo) na Ayanda ndo akapigwa risasi.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.