Recent content by KEBPN

  1. KEBPN

    Natafuta Rav 4 Miss Tanzania

    Budget 14, iwe namba D, unaweza nicheki whatsup 0687732666
  2. KEBPN

    Manispaa ya Ubungo haijatulipa mafundi ujenzi wa madarasa ya Rais Samia

    Haya madarasa yamejengwa na mafundi wazawa hayakutumia wakamdarasi
  3. KEBPN

    Manispaa ya Ubungo haijatulipa mafundi ujenzi wa madarasa ya Rais Samia

    Kaka tumehangaika sana yani...Unaenda kwa mwalimu mkuu anakwambia nenda kwa engineer,,,unaenda kwa engineer kila siku anakwambia kesho huku wao ndio wahusika wa kupitisha ili tulipwe pesa zetu,,Mbaya zaidi mikataba yetu inasema tulipwe mara tu baada ya kukabidhi na tayari yameshatumika kwa miezi...
  4. KEBPN

    Manispaa ya Ubungo haijatulipa mafundi ujenzi wa madarasa ya Rais Samia

    Habari wadau, Naomba mtusaidie kufikisha malalamiko yetu mafundi wa madarasa Maarufu kama madarasa ya Mama Samia(UVIKO 19. Tumemaliza haya madarasa toka december lakin hatujalipwa pesa zetu za mwisho paka leo. Pamoja na mikataba yetu kuelekeza tulipwe pesa zetu mara baada ya kukabidhi kazi...
  5. KEBPN

    INAUZWA Offer! Ramani na Huduma za ujenzi

    Unaweza tutembelea kwenye kurasa wetu wa instagram link hiyo hapo .. https://instagram.com/kabyexengineeringcompany?utm_medium=copy_link
  6. KEBPN

    INAUZWA Offer! Ramani na Huduma za ujenzi

    Karibu sana...Tukuhudumie
  7. KEBPN

    INAUZWA Offer! Ramani na Huduma za ujenzi

    Utalipia elfu 50 tu Boss
  8. KEBPN

    INAUZWA Offer! Ramani na Huduma za ujenzi

    Kuandaa ramani ni siku 5 na ufatiliaji kibari paka kitoke ni wiki 2 paka kitoke...kwa hiyo kazi zote ni wiki 3 tu..
  9. KEBPN

    INAUZWA Offer! Ramani na Huduma za ujenzi

    Laki 300,000/= tu ila gharama ya kibali utalipia mwenyewe kwa maana ile ya serikali,,sisi tunafatilia tunakutumia control number unalipa ..
  10. KEBPN

    INAUZWA Offer! Ramani na Huduma za ujenzi

    Karibu kwa huduma zifuatazo: 1.Ramani za nyumba(kuanzia 250,000/=). 2. Makadirio ya gharama za ujenzi(B.O.Q) 3. ufatiliaji wa Vibari vya ujenzi 4. Ujenzi na usimamizi. Karibu nikuhudumie... Wasiliana na mimi kwa 0712006246/0687732666
  11. KEBPN

    Tunatoa huduma za ujenzi

    Column starter fixing at Kifuru ....Karibu tukuhudumie. Wasiliana nasi kwa 0712006246.
  12. KEBPN

    Tunatoa huduma za ujenzi

    Karibu sana Mkuu
  13. KEBPN

    Tunatoa huduma za ujenzi

    soma vizuri post utaelewa..
  14. KEBPN

    Tunatoa huduma za ujenzi

    Nyumba hii inategemewa kujengwa Mbezi -Mpiji kiwanja ni 20*20..Nyumba ina upana wa wa 10 M na urefu wa 10M...Kiwanja kinabaki na nafasi ya kutosha kama unavyoona hapo...Kwa huduma zote za ujenzi karibu tukuhudumie..
  15. KEBPN

    Tunatoa huduma za ujenzi

    Kila kazi tukimaliza huwa tunatuma report kwa mteja ,,,Mfano hii ni report ya Grill na blandering tuliofanya kwenye ghorofa moja Mbweni...Picha nilituma kwenye post yangu ya Grill iliyopita...Karibu tukuhudumie kitaalamu
Back
Top Bottom