Recent content by kazimoto edward

  1. K

    Market for the ginger

    RUHUHU ENTERPRISES COMPANY LTD IS LOOKING FOR CUSTOMERS TO PURCHASE GINGER PRODUCED BY THE COMPANY. THE AVAILABLE GINGER PRODUCED IS ABOUT 30 TONNES. THE COMPANY IS LOCATED AT NJOMBE - TANZANIA. FOR MORE INFORMATION ABOUT THE PRODUCT OR COMPANY, CONTACT MR. EDWARD KAZIMOTO, MANAGING DIRECTOR OF...
  2. K

    Randama ya katiba ambayo ilifichwa na CCM hii hapa

    Angalieni randama ya katiba nimeambatanisha hapo chini
  3. K

    Njombe wamewakubali Mbowe na Dr. Slaa wakubalika kuendelea kuiongoza CHADEMA

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida wanachama wa CHADEMA wilaya nzima ya Njombe jana wameazimia kwa pamoja kumuunga mkono mwenyekiti wa chadema Taifa mheshimiwa Mbowe kuendelea kuongoza chama hiki kwa muda wa miaka mitano mingine. Wanachama hawa wamedai hakunahaja ya mtu mwingine kugombea nafasi...
  4. K

    CHADEMA wazidi kuigaragaza CCM Njombe

    Hatimaye CHADEMA wameiangusha tena ccm Njombe mjini. nibaada ya kushinda kesi zote walizo shakiwa na ccm pamoja na OCD wa njombe. Jana mahakama ya wilaya njombe imefuta kesi zote zilizokuwa zinawakabili viongozi wa CHADEMA NJOMBE. Kesi hizo ni pamoja na ile iliyofunguliwa na Jar People (Deo...
  5. K

    Dr. Slaa kutikisa Njombe tarehe 26 Januari, 2014

    Mji wa njombe kesho utazizima kwa mapokezi na mkutano mkubwa ambao utaongozwa na katibu mkuu wa chama cha CHADEMA mheshimiwa DR. Wilbrod Slaa katika viwanja vya National Housing. Mkutano huu ni miongoni mwa mikutano iliyopo kwenye ziara ya kiongozi huyu anayekubalika ndani na nje ya Nchi bila...
  6. K

    Chadema njombe yatekeleza mkakati wa kumg'oa anna makinda na ccm 2014/15

    Katika kile kinachosemwa kuwa ni maandalizi ya kuchukua Nchi, chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Njombe hususani jimbo la njombe kusini kimeanza kutekeleza mpango wake wa kukiondoa madarakani chama cha mapinduzi. Mpango huu umeanzakutekelezwa kwa kupita kila nyumba na...
  7. K

    Mh. Deo Filikunjombe agawa pikipiki kwa madiwani wote wa halmashauri ya Ludewa

    atuambie hizo fedha kazitoa wapi? Isije akauza Ludewa yetu
Back
Top Bottom