Recent content by kazi47

  1. kazi47

    Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

    Niliwacheck kwenye ile namba yao wakasema watanijulisha. Inasemekana wanamalizia kujenga ofisi.
  2. kazi47

    Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

    Hao nao miyeyusho walisema 30 may linaenda Johannesburg lakin mpaka leo 1 June haijulikan wataenda lini.
  3. kazi47

    Phone4Sale Simu SAMSUNG A02s inauzwa

    Hizo apo
  4. kazi47

    Phone4Sale Simu SAMSUNG A02s inauzwa

    Simu ni SAMSUNG A02s Ram 2b Storage 32gb Battery 5000mAh Camera 13MP, 1080p Simu ni nzuri na haina tatizo lolote. Bei ni 150000tsh. Nicheki kwenye namba 0743491497
  5. kazi47

    Msaada: Kufika South Africa

    Nahitaji kujua nauli mpaka Johannesburg from Dar Es Salaam na vitu vingine vya muhimu kuzingatia kwa aliyeenda huko hivi karibuni.
  6. kazi47

    Vyumba vya kupanga Mbagala

    Noted
  7. kazi47

    Vyumba vya kupanga Mbagala

    Kama una namba ya dalali yoyote mitaa hyo niwekee hapa.
  8. kazi47

    Vyumba vya kupanga Mbagala

    Naongelea room iwe sehem tulivu, kila mtu awe bize na mambo yake. Hakuna sehemu kama hiyo pia?
  9. kazi47

    Vyumba vya kupanga Mbagala

    Kuanzia Zakhem mpk kule stand ya mabus na kuendelea. Me sio mwenyeji huko, ninahitaji sehemu iwe imetulia.
  10. kazi47

    Vyumba vya kupanga Mbagala

    Natafuta CHUMBA hapo Mbagala bei kuanzia 50000 hadi 70000, toi iwe ndani vipi nitapata?
Back
Top Bottom