Shairi nzuri xana,umejaribu kuigiza jinsi ya kuandika utenzi hongera umejitahidi japo beti nne za mwanzo umejaribu kufananisha vina na baadhi kufwata mzani.
yote hyo ikiwa nikuwasilisha hisia zako.
km jamii ya watanzania ni vema kufanya utafiti wa kina zaidi ili kuweka jambo fulani bayani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.