Hello
Mwenzenu upweke utaniua Natafuta mwanamke ambae tutaenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume.
Sifa zangu;
Umri -30yrs
Mjasiliamali
Mkristo
Sifa za mke:
Umri 27yrs na kuendelea
Mkristo
Mwenye hofu ya Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Nb. Akiwa Dar itapendeza zaidi...
Mimi ni kijana wa miaka 32, mkristo, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja. Karibu PM
Sifa za mwenza ninayemtaka
1. Awe na umri kuanzia miaka 28 na kuendelea.
2. Dini yoyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi.
3. Awe...
Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex.
Mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke.
Hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika.
Kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo...
Mimi ni kijana wa miaka 30, mkristo, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja.
Sifa za mwenzi ninayemtaka
1. Awe na umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.
2. Dini yoyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi.
3. Ajitegemee kiuchumi na awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.