Recent content by Kaysan salum

  1. Kaysan salum

    JamiiForums Tanzania Kapotea anatafutwa

    Hapana kak ni mgonjwa wa kifafa mdg wangu huyu
  2. Kaysan salum

    JamiiForums Tanzania Kapotea anatafutwa

    KAPOTEA ANATAFUTWA Ndg zang watanzania pichani hapo anaitwa HUSEIN MRISHO ALEX umri ni miaka 13 anachangamoto ya ugonjwa wa kifafa ni mwenyeji wa mwanza, Kapotea maeneo ya Geita-Katoro. Naombeni msaada wenu kwa atakae muona ili tuweze kumpata.Namb ya simu 0656974260/0769575887.
Back
Top Bottom