Recent content by kayanza555

  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Matokeo ya Diploma UDOM yamechelewa Wanafunzi tupo kwenye hatari ya kushindwa kuomba kujiunga na masomo ya Shahada

    Wahitimu wa ngazi ya Diploma kwa mwaka wa masomo 2025/2026 tunakabiliwa na changamoto ya kushindwa kuomba nafasi za masomo ya Shahada kwa mwaka huu kutokana na matokeo yetu kutokuwa yamewekwa kwenye mfumo hadi sasa. Hadi wakati huu, bado hatujapewa taarifa rasmi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa...
Back
Top Bottom