wajameni
huyu dr shayo nasikia yuko Tanzania amekuja kwa maandalizi ya sikuu ya Christmas
Aikuja na KLM via Kilimanjaro Airport Baada ya masaa mawili alionekana pale marangu mtoni kule Moshi akiwa ndani ya Toyota corolla sallon ilikuwa ikielekea Marangu national park.
I will keep you posted!
Hapa Je?
Naomba "Game Theory " unisaidie
Can you comment on this one!
Forestry governance in limbo in Tanzania
31 May 2006
Hildebrand Shayo, London South Bank University
Link to article Print article
RICS research paper series Volume 6 Number 5
This paper presents an...
hi
anaglieni nyie inaweka picha tu bila idhini ya the owner. remember you can be taken to court na sijui how you will manage kulipa garama za kuendesha kesi. Please be careful. Si uliwahi kusikia matatizo ya kutumia picha za watu hadharani bila vibali!!! a worning!
hi wajameni. kumekucha.
Kwa ndugu zangu waislamu Eid Mubarak
Pia napendeni kuwapongeza kwa ujio wa sikukuu ya kitaifa ya kesho 9/12/. wengi wenu milyokimbilia huko nje haya kuimba wimbo wa taifa la Tanzania mmeshasahau!
Ila napenda tu kuendelea kuwajulisheni Dr. Shayo na michango yake...
Wanajamii nyie mnaopenda chokochoko na mambo ya watu, jaribuni kuwa na Busara. Ushauri Nendeni shule na jifunzeni ni kwa namna gani mtajiendeleza na kuisaidia Tanzania na siyo kuleta mambo ya kitchen party hapa.
Huu mtandao ni kujadili mambo ya maana na siyo ya kipumbavu.
Pamoja na ukweli...
Ndugu wana Jamiiforum
Baada ya kuombwa na wanajamii kutafuta wasifu wa Dr. hildebrand Shayo niligundua kuwa huyu jamaa amekwenda shule kweli kweli na siyo mchezo. ninaweza kuwahakikishieni kuwa hiyo issue ya grammer ambayo baadhi yenu wamefanya kama ni kigezo ni kitu cha kawaida katika uandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.