Recent content by kavhazard

  1. kavhazard

    Nisomee nini kwa maisha ya sasa endapo nitafaulu form four

    Hakujieleza alisema baada ya form four,
  2. kavhazard

    Nisomee nini kwa maisha ya sasa endapo nitafaulu form four

    Usiwaze sana advance, Angalia vyuo kama dit,must,chuo cha maji Na pia Eka mawazo chanya ya kutengeneza pesa bila kutumia sana elimu yako utakayokua nayo badae, Usiwaze kuajiria kutokana na elimu Na pia usiache elimu shikilia pia Anza kuwaza mAisha yako,
  3. kavhazard

    Profile yangu inanichanganya

    Nichek 0653242878 maana hat mi limenikuta ila nshasolvenshasolve
  4. kavhazard

    Majipu TCU lini yatumbuliwe?

    Eti mbona me bado naona selection zangu Hawanitel kua dirisha limefungwa Ni sawa hii?
  5. kavhazard

    Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

    Dooh Mimi nmeomba hyo coz 2nd selection Ukweli siijui vizur wala cjawahi kuisikia je inajapo uwanja kidogo baada ya kugraduate iwe kujiajiri au kuajiriwa Na pia mfano ukitaka kujiajiri sanasana utakua unadeal na pande zipi Nakuajiriwa unafocus hasa sekta zipi Nipe mwongozo Mr kama unaifahamu...
  6. kavhazard

    Ushauri wako kidogo

    Nashukuru bro Afu MBNA nijaza tatu zinagoma kuongezeka
  7. kavhazard

    Ushauri wako kidogo

    Shukran mr
  8. kavhazard

    Ushauri wako kidogo

    Naahukuru bro
  9. kavhazard

    Ushauri wako kidogo

    Asante bro
  10. kavhazard

    Ushauri wako kidogo

    Nimetemwa first round Nataka niendelee kusoma sayansi chuoni Nimemaliza pcm nikiwa na DDE Kama in mzoefu naomba nishauri Kidogo ili niweze kuchaguliwa Kama una idea ya faculty yoyote nili niweze kuangalia na chuo Niweze kuapply vizuri kwa round hii #nimewasilisha Asante
  11. kavhazard

    Nimeandikiwa hivi kwenye profile yangu TCU sijaielewa vizuri

    Sasa mkuu naogopa kutoweka vyuo vngne wasiwasi wangu nikutemwa tena Naomba ushauri kama unauelewa wa chuo kingne na best faculty Ambayo kulingana na matokeo hayo Expect ushauri wako Asante
  12. kavhazard

    Nimeandikiwa hivi kwenye profile yangu TCU sijaielewa vizuri

    Wakuu namimi nko second rnd pcm DDE nataka niombe hivii Municipal industrial &service engnerng-ardhi Building economy -ardhi Environmental science and managment-sua Food science -sua Form four Nina two Ntapita kwa second round? Mzooefu kdogo naomba ushauri wakubwa
Back
Top Bottom