Jamani eeee Watanzania wenzetu sidhani kama kuna kosa mtu kwenda kujaribu kutibiwa tatizo alilo nalo kwa bei rahisi, Kila mtu anapenda afya yake, Asiyekubali kushindwa si mshindani, Kakobe endelea kuomba wafuasi wakufuate sio kumharibia mwenzako, sidhani kama wewe anakuharibia kwa njia moja au...