Recent content by KAUPEPO SAUFA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mtihani wa ualimu diploma na cheti

    Hi wana JF, naomben msaada kwa yeyote kama ana ratiba ya mtihani wa ualimu hasa daraja A anisaidie.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maombi ya mafunzo ya ualimu mwaka 2014/2015

    Samahan wana JF, naombeni kusaidiwa, wanaoomba ualimu, kwa waliomaliza 2013, wanatakiwa kuwa na division 3, au four 33 na 34, maana nimeshindwa kuelewa vizuri. Naombeni msaada wenu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu

    Hatimaye serikali imetangaza ajira za walimu zipatazo elfu 36 na point kadhaa, ambapo walimu watapangiwa vituo vyao vya kazi muda si mrefu.
Back
Top Bottom