Recent content by Katunzi1707

  1. Katunzi1707

    Ningekua raisi ningedili na mambo mawili pekee

    Uwa na waza Kama leo mimi si raisi Ila roho inauma,kuona khali duni ya maisha ya watanzania na afrika kwa ujumla,tumekua ni bara la njaa ,vita na uchafu wakila aina,unao nifanya kusema ningekua raisi Ningekua raisi ningedili na mambo mawili pekee, (A)MPANGO KAZI WA MAENDELEO WA TAIFA MIAKA 50...
  2. Katunzi1707

    Ningekuwa Rais ningefanya maamuzi mawili yatakayo leta maendeleo nusu karne ijayo

    Natumaini mko salama nyote, Ningekua Rais wa Tanzania ningefanya maamuzi mawili yatakayo leta maendeleo nusu karne ijayo(50), (A) Mpango kazi wa maendeleo wa Taifa wa miaka 50 (B) Mabadiliko katika Elimu Hivi leo nilivo mwananchi wa kawaida,lakini roho yangu inauma sana nikiangalia nchi yangu...
Back
Top Bottom