Mimi nakushauri kama una mchumba muoe maana kuoa ni ulinzi wa nyumba, ni rahisi hata kufuga maana dada wa kazi atakuwepo na kaka wakutunza mifugo so mchana kutakuwa na usalama na mchumba kama hafanyi kazi atasimamia mifugo, mfungulie na biashara maeneo ya huko huko utaona faida ya kuoa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.