Hongera kwa maamuzi hayo ndugu. Naomba kwa uelewa wangu wa kawaida nishauri yafuatayo:
1. Fanya utafiti wa kina juu ya hiyo biashara kuhusu;
• Wapi mzigo unapatikana.
• Miezi gani mzigo unapatikana kwa wingi?
• Bei zake zikoje
• Gharama halisi za kuendeshea biashara zikoje mf. (Usafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.