Habari wakuu! Je! Ni hatua gani za kuzifuata ili kuweza kusajiri au kuanzisha kituo cha mitihani kwa ajili ya watahiniwa binafsi (Private candidates).
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza pongenzi kwenu kwa majukumu yenu. Ni kwaida sana katika nchi yetu kukuta mwalimu yuko peke yake katika shule husika.
Ni ukweli usiofichaka kuwa licha ya uwingi wa vipindi bado mlio wengi hufanyaka majukumu mengine kama WATAALAMU WA MAABARA.
Maajabu ni kuwa serikali bado haioni mchango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.