Recent content by kasulukasulu

  1. K

    Ushauri: Naomba kujuzwa namna ya kuongeza kimo/ urefu wa gari

    Shukrani wadau, nimepata somo zuri kutoka kwenu. Mpaka sasa mzani umelalia kwenye kutolipandisha. Chakufanya muda wa kubadilisha matairi naweza kuchukua ya saizi kubwa kuliko yaliyopo, hii nitaifanya kwa ushirikiano na fundi ili kusiwe na changamoto kama za kugusa bodi muda wa kukata kona.
  2. K

    Ushauri: Naomba kujuzwa namna ya kuongeza kimo/ urefu wa gari

    Salam wakuu, Nimekua mtumiaji wa magari yaliyo chini. Nilianza kutumia Toyota RunX na sasa natumia Subaru imprezza. Katika matumizi yake nimekua napata changamoto ya kimo chake ikiwemo kuharibu mabampa. Zaidi ya mafundi wawili wamenishauri...
Back
Top Bottom