Recent content by kasuhe

  1. K

    Simba na Yanga wanakwama wapi?

    Nimewaza sana kuhusu vilabu vyetu vya tanzania ila jibu sijapata bado. Ukiafuatilia vizuri soka la Tanzania mara nyingi hakuna luxury kbsa zaidi tu mashabiki wanalaumu wachezaji au kocha wa kilabu husika. Hivi natuna watanzania ambao wanaoweza kucheza mpira vizur au usajili wetu unakwama wapi...
Back
Top Bottom