Hongera ndugu Murashan mtego kwa chapisho zuri. Kampeni hii ikizingatia na watoa huduma za afya itasaidia wananchi kwa kiasi kikubwa zaidi. Watu watapata matibabu sahihi kwa magonjwa sahihi hatimaye kuimarisha ustawi wa afya ya wanajamii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.