Recent content by kassimu

  1. K

    JamiiForums Uongozi wa udoso(udom) mnafanya nini?? Kwanini msijiuzulu wenyewe??

    Viongozi wa UDOSO mnasubiri nini kujiuzulu?wanafunzi wa UDOM wanaishi bila mikopo kwa zaidi ya miezi mitatu chuoni na wakati nyie mpo??kama mmeshindwa kutatua matatizo ya wanafunzi wenu waliowaweka madarakani kuna haja gani ya kuendelea kushikilia nyadhifa hizo?RAISI WA UDOSO unawezaje...
  2. K

    JamiiForums Why don't university of dodoma students'leadership(udoso) resign their positions

    Viongozi wa UDOSO mnasubiri nini kujiuzulu? Wanafunzi wa UDOM wanaishi bila mikopo kwa zaidi ya miezi mitatu chuoni na wakati nyie mpo??kama mmeshindwa kutatua matatizo ya wanafunzi wenu waliowaweka madarakani kuna haja gani ya kuendelea kushikilia nyadhifa hizo?RAISI WA UDOSO unawezaje kujitapa...
Back
Top Bottom