Sawa wa kishua.
Huko watu wameenda kutafuta.
Ukiona ujenzi wa hivyo mahala ujue hapo riziki ipo. Hivyo wananchi wanakuwa na kasi kwenye mipango hata zaidi ya serikali
Hizi Mwendokasi safari zake hazikupangwa kutokana na mahitaji. Wamenakili vituo vya daladala na wao wakapita humohumo. Ingekuwa suluhisho kama wangenakili vituo vya kuanzia au kuishia au kugeuzia vilivyotumika kabla daladala hazijapakwa mikanda ya njia.
Mfano huku kwetu Dar Barabara ya Nyerere...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.