inawezekana kabisa kufanya biashara kwa mtaji wa sh. 5000, lakini hiyo biashara si kubwa ki hivyo ie. biashara pipi, biscuit, karanga n.k tatizo watu wenye degrii wanajidai hawezi :juggle: kufanya biashara ndogondogo kama hizo, lakini ikumbukwe kuwa hata hao mamilionea walianzia chini, swala ni...