Kabla ya kumpa hiyo kinga ajulikane alipo ,akamatwe na kuissue statemement yake kwanza na ushahidi muhimu alionao.Kinga atapewa in return. Unajua mafia tena: " Once you are in you stay, you can't get out ALIVE!!
Lukwizi
Pia wenzangu, tuanze kulingalia hili bomba kuu la kupitishia ufisadi...