Hii ilinifanya nitafakari sana katika Kijiji changu kama kijana niliamua kugombea uenyekiti wa Kijiji,Nguvu iliyotumika kunirudisha nyumba ni kubwa sana nashangaa sijui kwann wazee wanang'ang'ania sana uongozi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.