Kutofanyiwa ufumbuzi wa tatizo la kujaa maji katika njia ya Vianzi kutoka Vikindu Hospitali kuelekea Masister inaleta shida sana kwa watu kupita.
Hii ndiyo njia pekee inayotumiwa na wanafunzi wa vyuo na shule kupita kila siku .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.