Joshua Nassari Huna lolote....
Najua wengi mlikuwa mnataka 500000 il imebuma.
Kama ninyi mnawatakia heri watanzania basi posho hizo chukueni nusu yaani 150000 then 150000 ingine tukamalizie mabanda ya zahanati na vituo vya afya vijijini hakika ntawapa kura yangu 2015 la sivyo ......na ninyi ni...
Dah sasa kaka kweli tutafika??
Alafu kwa kuwa ushalamba ile 200000 nifanyie hata 1900 ya xtreme kanda ya ziwa si unajua huku tunaxtrem na ndiyo mpango mzima.....usinisahau kamwe.
Katiba ni sheria mama na kama sheria mama haitasema chochote kuhusu mapato ya nchi hakuna tutakapokwenda kwasababu baadae regulations zitakazokuja zitaishia kuwa na mianya ya wizi...mfano mdogo ni katika katiba iliyopo haitilii mkazo namna bora ya kukusanya kodi na kuzikinda dhidi ya mafisadi na...
Watu tumekuwa busy na katiba mpya,hilo ni zuri sana lakini tumekuwa busy na kipengere saana kimoja cha muungano na nahisi hata warioba nae akili yake iko busy kutoka siku anateuliwa mpaka leo busy na jambo la muungano kwamba tuwe na serikali 3.
Ukitazama vyama vingine vya siasa kama chadema wao...
WADAU NAOMBA NIANZE KUTOA MTILILIKO WA MICHANGO YA MBUNGE WA KISESA BW.LUHAGA J.MPINA HAPA UWANJANI NIKIWA NA MAANA YA KUKUPA MWANYA NA NAFASI WEWE KUWEZA KUMLINGANISHA MPINA NA MBUNGE YOYOTE AMA KWA MAUDHUI YA MCHANGO WAKE KWA TAIFA NA WAPIGA KURA WAKE HII YOTE KUWEZA KUWAELEWA ZAIDI...
Mshumbusi ni muongo coz kama Mpina ndo aliufuata umati na kutaka kuugonga na gari...inamaana kuwa Mpina aliwafuata Opulukwa na Wafuasi wake kwa kuwachokoza...swali je,kama mpina ndo alikosea kwanini opulukwa mpaka sasa anaendelea kuomba msamaha,....na habaroi mpasuko ni kwamba vijana...
....acha unafiki..kwani Lubiga na Mwandoya kabla ya Luhaga Mpina na sasa zinafanana?? Jimbo hilo lilikuwa upinzani na hakuna maendeleo yoyote,Lubiga kipindi cha masika wananchi walikuwa hawasafiri kwa sababu ya kuzibwa na mto lakn Mpina kawawezesha wamepata daraja la mto lubiga na safari ni...
Hahahahahah naona ulichosema wewe unaona ni ukweli mtupu....najua umelishwa tango pori na sidhani kama ulishawahi ishirikisha akili yako kufikiri kwabi unaobekana kuwa mgumu na akili yako ishazoea kupokea maneno na kumeza kama yalivyo......kuwa binadamu fikiri kwa ulichoambiwa kwabi si kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.