Recent content by Kaselukila

  1. K

    JamiiForums Tanzania PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    huyu babu aachie jimbo maana kaaibisha chama na jimbo lake
  2. K

    JamiiForums Tanzania Malawi paper calls Kikwete a 'Bloodthirsty Leader'

    Kama ni mtaalama wa takwimu huwezi kulinganisha takwimu zilizotofautiana miaka ya ukusanyanyi wake kama hiyo, kwa jinsi dunia inavyobadilika haraka, tofauti ya mwaka mmoja tofauti yake ni kubwa sana (skewness ya data)
  3. K

    JamiiForums Tanzania Malawi paper calls Kikwete a 'Bloodthirsty Leader'

    Kama wadau mmekuwa wafuatiliaji wa vyombo vya Malawi ni wachokozi kuliko kawaida. Raia wa kawaida, wanavyuo, wahadhiri, na hata wahubiri wamezidi kutoa kauli chafu na ya matusi kwa Tanzania, k.m warafi, wachoyo, madictator n.k. Watanzania tusi laumu Lugha ya kawaida ya ya Matumaini aliyo itoa...
Back
Top Bottom